Mmoja wa wachumi waliozungumza na SAUTI KUBWA, Donald Bubelwa, anasema kamari imekuwa kimbilio la vijana wengi ambao kwa namna moja au nyingine wanaitegemea kama chanzo cha kujikwamua kiuchumi.Tofuti na hapa kwetu, Uganda wafanyabiashara wamiliki wa mashine na mitandao mingine ya michezo ya kamari ni Wachina na Wahindi.Anytime, we may perhaps inqui